Inakuwaje hii??...

Inakuwaje hii??...

Mbrazili

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
649
Reaction score
90
Habari zenu wakuu.....nauliza hivi kwa mfano umepewa mkopo na heslb.....,labda kwenye tuition fee ya 1500000 wakakulipia milioni 1 je ile laki 5 ambayo imebaki ni lazima uanze kulipia nusu yake semester ya kwanza then umalizie baadae au unaweza usilipe kabisa ukaja kutoa yote laki 5 semester ya pili kwa maana ile milioni moja uliyopewa na bodi imeshavuka nusu???....
 
Ngoja waje wajuzi
 
Back
Top Bottom