Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We are not complaining, now are we? Fagia kwako!Ujuaji, utumwa wa fikra, chuki, wivu, roho mbaya, hizi ndizo sababu kuu,
Mtanzania anaweza kuishi vzr na watu wote wa ukanda huu, lkn mkenya hawezi, sababu kuu ni ile minsdset ya kitumwa waliyovishwa na aina ya utawala wao(ubepari) kujiona wao ni bora zaid ya wengine, pia ubinafsi na kujipenda wao tu, hii ndiyo shida ya hao watu.
Kama aina ya viongozi wa Tz wangezaliwa Kenya kipindi cha kupigania uhuru nina imani hawa wakenya wangekuwa na umoja mzuri, bila ya ukabila pia wangekuwa na akili ya kuliunganishaTaifa lao kwa lugha mama moja ya wazawa na sio lugha ya mkolon ambayo leo hii wanaitumia badala ya lugha zao za asili(utumwa wa fikra).
Kenya ilishaaharibiwa na aina ya utawala walio nao, ni vigumu hawa watu kuishi vzr na majiran zao, kama wao wenyewe kama Taifa hawana umoja zaid ya chuki na kujiona wazungu unadhan wataweza kuwapenda majiran?.
Ni kwa sababu ya utofauti wa itikadi, ujamaa vs ubepari. Hata uko Ulaya, itikadi hizo mbili hazipikwi chungu kimoja.Tanzania inapakana na nchi nyingi tu ila inakuwaje Kenya na Tanzania inakuwa kama Simba na yanga,
kwa sababu wasisi wa haya mataifa walikuwa wanashindana sana NYERER na KENYATTA,,,,,Tanzania inapakana na nchi nyingi tu ila inakuwaje Kenya na Tanzania inakuwa kama Simba na yanga,
Nyang'au mjinga sana anataka kuabudiwaTanzania inapakana na nchi nyingi tu ila inakuwaje Kenya na Tanzania inakuwa kama Simba na yanga,
Ukweli ni kwamba wapendanao ndio wagombanao. Ni nchi ipi nyingine inayopakana na TZ ambayo Mtanzania anaweza kuishi na kujihisi yupo nyumbani?Tanzania inapakana na nchi nyingi tu ila inakuwaje Kenya na Tanzania inakuwa kama Simba na yanga,