Inakuwaje ndizi zinakuwa zimekomaa kabisa, tena zingine kukomaa kiasi cha kuanza kupasuka lakini nikizikata ili nizivundike ziwe mbivu basi huwa haziivi vizuri, na hata zikiiva basi inakuwa kwa kuruka ruka, yaani inaiva moja chini, kati au juu pasipo mtiririko.
Lakini nikiweka chumvi au majivu kwenye shina la mkungu basi zote huiva kwa mara moja na kuwa mbivu!
Je, ipi nguvu ya chumvi katika hili?
Lakini nikiweka chumvi au majivu kwenye shina la mkungu basi zote huiva kwa mara moja na kuwa mbivu!
Je, ipi nguvu ya chumvi katika hili?