Subiri uje uone chumvi inavyodadavuliwa utaambiwa inatoa hadi mikosi!.. subiri utashuhudia labda akwepe tu lkn wanasemaga jasiri haachi asili 😜Ni mtaalam wa uivaji wa ndizi?
Subiri uje uone chumvi inavyodadavuliwa utaambiwa inatoa hadi mikosi!.. subiri utashuhudia labda akwepe tu lkn wanasemaga jasiri haachi asili 😜
Kusema kipaji cha mtu sio uchochezi mama!Aisee acha uchochezi.
Ili ndizi iweze kuiva inaitaji chemical inayoitwa acetylene ambayo inapatikana kwenye ndiz iliyo iva tayali sasa ili ndizi zako ziweze kuiva kwa pamoja chukua ndizi iliyo iva alafu changanya na zile mbichi lkn ziwe zimekomaa alafu funika ili kuzuia acetylene isi potee maana acetylene ipo kwenye mfumo wa gas kwaiyo inaweza kusambaa haraka na kupotea kwaiyo inabid ufunike na kipande cha nguo baada ya siku 5 adi 10 ndizi zako zitakuwa zimeiva na kubadilika langi na kuwa njano ya kuvutia [emoji529][emoji529]Inakuwaje ndizi zinakuwa zimekomaa kabisa, tena zingine kukomaa kiasi Cha kuanza kupasuka lakini nikizikata ili nizivundike ziwe mbivu basi huwa haziivi vizuri, na hata zikiiva basi inakuwa kwa kuruka ruka, yaani inaiva moja chini, kati au juu pasipo mtiririko.
Lakini nikiweka chumvi au majivu kwenye shina la mkungu basi zote huiva kwa mara moja na kuwa mbivu!
Je, ipi nguvu ya chumvi katika hili?
Safi ngoja nitajaribu njia hiiiIli ndizi iweze kuiva inaitaji chemical inayoitwa acetylene ambayo inapatikana kwenye ndiz iliyo iva tayali sasa ili ndizi zako ziweze kuiva kwa pamoja chukua ndizi iliyo iva alafu changanya na zile mbichi lkn ziwe zimekomaa alafu funika ili kuzuia acetylene isi potee maana acetylene ipo kwenye mfumo wa gas kwaiyo inaweza kusambaa haraka na kupotea kwaiyo inabid ufunike na kipande cha nguo baada ya siku 5 adi 10 ndizi zako zitakuwa zimeiva na kubadilika langi na kuwa njano ya kuvutia [emoji529][emoji529]
Ndio mkuu baada ya siku tatu adi nne unaweza kuitoa iyo ndizi na kuweka nyingine adi siku nne mbele zote zitakuwa zimeivaSasa hizo siku 10 za kusubiri, hiyo nyingine(iliyoiva) si itakua imeshaanza kuoza?
sawa nitafanya hivyoNdio mkuu baada ya siku tatu adi nne unaweza kuitoa iyo ndizi na kuweka nyingine adi siku nne mbele zote zitakuwa zimeiva
hiyo Ndizi unapoiweka unatakiwa kuimenya ili itoe hiyo gas au unaiweka pasipo kuimenya? maana umesema gas inapotea haraka sijaelewa inapoteaje Wakati ndizi inakuwa na ganda lake tangu huko unakoitoaNdio mkuu baada ya siku tatu adi nne unaweza kuitoa iyo ndizi na kuweka nyingine adi siku nne mbele zote zitakuwa zimeiva
Asante mkemia wetuIli ndizi iweze kuiva inaitaji chemical inayoitwa acetylene ambayo inapatikana kwenye ndiz iliyo iva tayali sasa ili ndizi zako ziweze kuiva kwa pamoja chukua ndizi iliyo iva alafu changanya na zile mbichi lkn ziwe zimekomaa alafu funika ili kuzuia acetylene isi potee maana acetylene ipo kwenye mfumo wa gas kwaiyo inaweza kusambaa haraka na kupotea kwaiyo inabid ufunike na kipande cha nguo baada ya siku 5 adi 10 ndizi zako zitakuwa zimeiva na kubadilika langi na kuwa njano ya kuvutia [emoji529][emoji529]
jamaa kajibu vyemaAsante mkemia wetu
Anajua kila kituNi mtaalam wa uivaji wa ndizi?
Apana mkuu akuna haja ya kuimenya maana iyo gas inakuwa inapita taratibu kupitia kikonyo cha ndizihiyo Ndizi unapoiweka unatakiwa kuimenya ili itoe hiyo gas au unaiweka pasipo kuimenya? maana umesema gas inapotea haraka sijaelewa inapoteaje Wakati ndizi inakuwa na ganda lake tangu huko unakoitoa