Inakuwaje lakini mabinti kudanganyika wasijifunze kwa wengine?

nilitaka uwe msumbufu kidogo
mbona wakubali haraka....?
hivi out of curious una mitikisiko ya pwani????
Usumbufu unapoteza muda!Ila kama unataka naweza kukuzungusha round kadhaa!Kuhusu swali lako ngoja nilifanyie uchunguzi!
 
na card yangu ya visa?
hebu sema sasa mitikisiko ipo haipo?

Dayyym...najaribu nashindwa!Ngoja nikupe picha....chora nane alafu kiziro cha chini kiwe kikubwa karibu mara mbili ya chajuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…