neema kelvin
Member
- Sep 23, 2014
- 90
- 10
Wakuu naomben kujua leo majina ya mkopo yamekuja chuoni kwetu ila jina langu halipo. Hapo ninafanyaje msaada wenu tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naomben kujua leo majina ya mkopo yamekuja chuoni kwetu ila jina langu halipo.hapo ninafanyaje msaafa wenu tafadhali.
Wakwanz,ruco
upo mwaka wa.ngap? na chuo gani?
Ili tatizo pia Lipo kwa continuous ,majina yanakuja alafu mengine yanakosekana ...kwann? Na nin solution ya hili swala
upo mwaka wa.ngap? na chuo gani?
Wakuu naomben kujua leo majina ya mkopo yamekuja chuoni kwetu ila jina langu halipo. Hapo ninafanyaje msaada wenu tafadhali.