Inakuwaje majina ya kusaini mkopo yanakuja chuo wengine hatupo?

neema kelvin

Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
90
Reaction score
10
Wakuu naomben kujua leo majina ya mkopo yamekuja chuoni kwetu ila jina langu halipo. Hapo ninafanyaje msaada wenu tafadhali.
 
Wakuu naombeni ushauri wenu mi ni first yr ruco leo majina ya kusaini mkopo yamekuja ila jinalangu halipo.naombeni anaye jua kuhusu hili jambo anisaidie.
au ndo kuna sec batch
 
Bodi ya mkopo wanayatuma majina vyuoni kiawamu kulingana na wanavyokuwa wakiachia, usiwe na wasiwasi watayatuma na hayo mengine

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Aise mi mwenyewe nipo mwaka wa kwanza ruco jna cjaliona asa nilikua nafikiria iweje bodi watoe majina then kwenye kusain wanayaleta nusu tena mi hata cjui hatma yangu
 
Fuatilia utapata au loan atafuatilia lakn huwa n kawaida xana so don't worry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…