Inakuwaje Mambo haya??

Thread hii imenifariji sana,last wikend nimeumizwa na yule nimpendae,i tried much kuhakisha kua nampenda na kumjali lakin haikusaidia,i discover that hatupo pamoja,nina wiki sasa nipo kwenye maumivu lakin mawazo ya wadau yamenisaidia,nafurah kuona weng yamewakuta isipokua waliamua kuanza upya maisha,namuomba MUNGU aniongoze njia ilonyooka.
Ni afadhal kuepusha msongamano
 
 
hey hey!u sound more sweet i feel lyk changing my mind even now,is the rum available this mnt?

Is one room enough darling? I have three, all for you!....

Orayt, now stop chakachuaring my mjukuu mtiifu's useful thread.
 
 
Naunga mkono hoja ya Babu ODM kwenye sredi hii, sina cha kuongeza
 
mara nyingi unapompenda mtu huwa hufikirii, unachojua ni kuwa nae tu no matter what. you can go extra miles and do crazy things, but mwisho wa siku ukitafakari unagundua it was not worthy it.
 
haina thamani my dear,lakini nara nyingi huwa tunajifunza kutokana na makosa na ndio ilivo MJI wakati huo hata ungeambiwa si ajabu usingewasikiliza waliokushauri.
 

lzm kung'ang'ania baraka za pendo ila yule akupendae aah unamzingua ila akuznguaye ndio unaöna kwake umefika.
 
wandugu zangu sijui mimi nina dawa au nini, nikitaka kuwa na mtu ambaye ana mahusiano siku zote najitahidi anamwacha aliyenae mie ndio nashika hatamu, halafu badae nakuwa simtaki tena najutia kumvunjia uhusiano wake ila ndio inakuwa tayari ishatokea, najua mtenda hutendwa hapa nilipo sasa hivi nimefika balaa ila nahisi nae hajaka kama mimi.si mnaona balaa hilo. Kwa hiyo wote mliotendwa wala msikate tamaa ipo siku na nyie mtasimama na kupata watakaowapenda mpaka mshangae wenyewe.Yaani siku hizi kila saa simu mkononi msg ikiingia najua ni yeye nakuta limtu jingine nachukiaje!Ama kweli mwezi umekamatwa na jua, Eeee Mungu nisaidie mie jamani nimekamatwa nimekamatika sijawahi kuwa hivi kwa kijana yeyote ila huyu? mkimwona sasa kabaya kama movie ya avatar yule avatar mwanaume lol! Sorry nimevamia thread yako nilitakiwa nianzishe yangu nipate ushauri
 

Babu aksante kwa ushauri wako mh..........kweli mahusiano ni mtihani kwa kweli. Well hapo kwenye red najaribu kujiuliza ni penzi lipi analimiss? Lile genuine ambalo nlikuwa nampa kabla hajawa na Havijawa au lile nlokuwa namwonyesha ili kumtoa kwa Havijawa arudi kwangu?? (maana I went extra miles kwa kweli)
But Babu umesomeka, umeeleweka na busarzo zimechukulika. Aksante sana

Kifo cha penzi ni kifo kibaya usikiombe kifo cha penzi
Heri ufe kwa kugongwa na gari ya treni,
 
Unrequited love. Mnh,...namalizia dripu hapa. Nitakuja changia kesho haya ya "kujibebesha mayai yote kweye kifuko cha rambo!"
 

Should you have any querry, do not hesitate to ask...........you know where I live, don't you?....My home is yours.

Masharti na vigezo kuzingatiwa.
 
They say "Love is blind" lakini usemi huu kwa hali halisi ya siku hizi sikubaliani nao kabisa sababu kila kitu siku hizi u get to know sooner than later watu siku hizi wamekosa uvumilivu na kuanza kusingizia vitu chungu nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…