Hapa nasikiliza kituo kimoja chenye makazi yake huko kanda ya ziwa, wanapiga nyimbo za mabeberu; maneno kama b**ch, N**ger, f**k, motherf**ker yanakwenda on air bila kuwa censored. Na hii si mara ya kwanza kusikia, kuna siku pia nilisikia nikadhani labda walijisahau.
Hivi mswahili akiweka neno ny*ko au ms**ge kwenye wimbo wake watayaacha yaende hewani vilevile?
Kama haiwezekani, ni nini chanzo cha hii double standard?