Inakuwaje mfanyabiashara kuondoa Blue tick(kusoma message kimyakimya)

Kwanini utume hela kwa mtu usiyemfahamu?

Ngoja mtoa mada ajibu, Ila chukulia mtoa mada amejudge apewe bidhaa malipo after deliver je inawezekana? Hapa kama ni tapeli lazima akae kimya.

Kanuni ya matapeli ni moja tu, Ukimya kwenye maswali yenye sintofahamu kuhusu usalama wa pesa au bidhaa.
 
Unaweza kujibiwa maswali yako magumu na ukapigwa. Issue ni kwanini umtumie hela usiyemjua!!?
 
Ila wafanyabiashara bana ukiwakuta tik tok,instagram , Twitter hata JF humu wanakwambia njoo watsup nina group ukienda njoo inbox ukienda piga au nitumie sms ya kawaida kwa majibu ya haraka zaidi ukituma analalamika mpo wengi hivyo hawezi jibu haraka
 
Back
Top Bottom