Inakuwaje mkuu wa shule anakataa kumsainia mwalimu barua?

Inakuwaje mkuu wa shule anakataa kumsainia mwalimu barua?

pere

Member
Joined
Jan 4, 2016
Posts
12
Reaction score
0
Mimi najiuliza kitu kimoja na sipati majibu. Hivi inakuwaje Mkuu wa shule anakataa kumsainia mwalimu barua? Mbona watu wanaongeza migogoro baada ya kuipunguza?

Kweli JPM kazi unayo. Nakubali msemo wako kwamba sasa ni nafasi kwa vijana.
 
Barua hiyo inahusu nini mpaka anakataa kuisaini labda inatatizo.
 
Back
Top Bottom