P pere Member Joined Jan 4, 2016 Posts 12 Reaction score 0 Jul 26, 2016 #1 Mimi najiuliza kitu kimoja na sipati majibu. Hivi inakuwaje Mkuu wa shule anakataa kumsainia mwalimu barua? Mbona watu wanaongeza migogoro baada ya kuipunguza? Kweli JPM kazi unayo. Nakubali msemo wako kwamba sasa ni nafasi kwa vijana.
Mimi najiuliza kitu kimoja na sipati majibu. Hivi inakuwaje Mkuu wa shule anakataa kumsainia mwalimu barua? Mbona watu wanaongeza migogoro baada ya kuipunguza? Kweli JPM kazi unayo. Nakubali msemo wako kwamba sasa ni nafasi kwa vijana.
Mkumbizi Senior Member Joined Dec 31, 2013 Posts 171 Reaction score 26 Jul 26, 2016 #2 Barua hiyo inahusu nini mpaka anakataa kuisaini labda inatatizo.