Inakuwaje mtu unakuwa mkubwa(umri) na hapo hapo unakuwa huna akili?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Kuishi kwingi ni kuona mengi na katika kuishi kwingi mtu anajipata anafanya makosa yanayoadhibu na wakati huohuo yanayokumbusha kuwa wakati mwingine anapaswa kuwa makini afanyapo maamuzi kimsingi kuishi kwingi ni kama darasa linalokupa elimu katika nyanja tofauti kama mahusiano, uchumi na jinsi ya kukabiliana na situation tofauti kama shida na raha.

Swali inakuwaje umekuwa na miaka 25+ halafu umekuwa huna akili?
 
Growing older is mandatory, everyone does. Growing up is optional; it is not necessarily that eveyone grows up!. By the way, hana hekima, akili anayo
 
Tuambie kwanza wewe umejuaje kwamba huna akili mkuu?

IMG_1838.jpg
 
Kuishi kwingi ni kuona mengi na katika kuishi kwingi mtu anajipata anafanya makosa yanayoadhibu na wakati huohuo yanayokumbusha kuwa wakati mwingine anapaswa kuwa makini afanyapo maamuzi kimsingi kuishi kwingi ni kama darasa linalokupa elimu katika nyanja tofauti kama mahusiano, uchumi na jinsi ya kukabiliana na situation tofauti kama shida na raha.

Swali inakuwaje umekuwa na miaka 25+ halafu umekuwa huna akili?
Ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi
 
sio umri tu, hata mwili. kuna jamaa mmoja aisee ana bonge la mwili, lakini akili kisoda aisee, yaani akitoa hoja watu hadi wanamwonea huruma. sijui ni kwanini?
 
[emoji23] akili na kukua kiumri ni non voluntary issues... Viko nje ya uwez wa mtu binafs
Mkuu vina uhusiano mkubwa sana. Ile experience ya maisha inakufunza mengi ndo maana wakasema kuishi kwingi kuona mengi
 
sio umri tu, hata mwili. kuna jamaa mmoja aisee ana bonge la mwili, lakini akili kisoda aisee, yaani akitoa hoja watu hadi wanamwonea huruma. sijui ni kwanini?
Aisee..
 
Back
Top Bottom