BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Growing older is mandatory, everyone does. Growing up is optional; it is not necessarily that eveyone grows up!. By the way, hana hekima, akili anayoKuishi kwingi ni kuona mengi na katika kuishi kwingi mtu anajipata anafanya makosa yanayoadhibu na wakati huohuo yanayokumbusha kuwa wakati mwingine anapaswa kuwa makini afanyapo maamuzi kimsingi kuishi kwingi ni kama darasa linalokupa elimu katika nyanja tofauti kama mahusiano, uchumi na jinsi ya kukabiliana na situation tofauti kama shida na raha.
Swali inakuwaje umekuwa na miaka 25+ halafu umekuwa huna akili?
I'm still here.Mkuu bado upo?
I'm still here.
Ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasiKuishi kwingi ni kuona mengi na katika kuishi kwingi mtu anajipata anafanya makosa yanayoadhibu na wakati huohuo yanayokumbusha kuwa wakati mwingine anapaswa kuwa makini afanyapo maamuzi kimsingi kuishi kwingi ni kama darasa linalokupa elimu katika nyanja tofauti kama mahusiano, uchumi na jinsi ya kukabiliana na situation tofauti kama shida na raha.
Swali inakuwaje umekuwa na miaka 25+ halafu umekuwa huna akili?
HaswaaUkubwa wa pua siyo wingi wa kamasi
sio umri tu, hata mwili. kuna jamaa mmoja aisee ana bonge la mwili, lakini akili kisoda aisee, yaani akitoa hoja watu hadi wanamwonea huruma. sijui ni kwanini?Kuishi kwingi ni kuona mengi na katika kuishi kwingi mtu anajipata anafanya makosa yanayoadhibu na wakati huohuo yanayokumbusha kuwa wakati mwingine anapaswa kuwa makini afanyapo maamuzi kimsingi kuishi kwingi ni kama darasa linalokupa elimu katika nyanja tofauti kama mahusiano, uchumi na jinsi ya kukabiliana na situation tofauti kama shida na raha.
Swali inakuwaje umekuwa na miaka 25+ halafu umekuwa huna akili?
Na watu wa hivyo wana bahati sana.
Mkuu vina uhusiano mkubwa sana. Ile experience ya maisha inakufunza mengi ndo maana wakasema kuishi kwingi kuona mengi[emoji23] akili na kukua kiumri ni non voluntary issues... Viko nje ya uwez wa mtu binafs
Aisee..sio umri tu, hata mwili. kuna jamaa mmoja aisee ana bonge la mwili, lakini akili kisoda aisee, yaani akitoa hoja watu hadi wanamwonea huruma. sijui ni kwanini?