Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Unakuta mwanamme mzima anajiangalia kwenye simu ama kioo huku akitumia ulimi kuulamba lamba mdomo kama chizi!
Janaume jingine unakuta lina setiseti nywele huku likipindua shingo kama jehu vile!
Pumbavu!
Janaume jingine unakuta lina setiseti nywele huku likipindua shingo kama jehu vile!
Pumbavu!