Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Wanapaka na lipshineπ₯΄
Lamba ulimi jingine hiloulimi si wake au anaenda kununua ktk shop za cosmetics?
Usicheke ndugu yangu inasikitisha sanaπ
Inawezekana hakikaSi ndio hao waliofanya wanawake tuwe wengi kuliko wanaume, sensa ya mwaka juzi
MwanachamaMkuu acha mawazo ya kijinga. Upepo wote huu na ukame midomo inakauka unataka mtu asilambe midomo ku lubricate?
Du!Wanaume wengi wa mjini hawana masculinity characters