Inakuwaje Mwanaume una miaka 30 Plus Unajinyonga kisa Wivu wa Mapenzi?

Inakuwaje Mwanaume una miaka 30 Plus Unajinyonga kisa Wivu wa Mapenzi?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Bora limejiua lenyewe maana yanauaga wenzao na Watoto hayo
 
Binadamu tunatofatiana uwezo wa kubeba mambo! Hili ni swala la ajabu sana.

Kuna watu Wana uwezo wa kubeba maumivu hadi kufikia hatua ya kukaa sawa na kuendelea na maisha!

Kuna wengine hawawezi hayo mambo!

Kikubwa ni kuhakikisha kwenye haya maisha tunakuwa sehemu ya nguvu na msaada kwa wengine!

Haya mambo hayana kanuni!

Linda moyo wako! Hakuna atakayekulindia
 
Back
Top Bottom