ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
HahahaHivi Wanaume wa siku hizi ni pre mature au shida ni nini? Mwanaume mtu mzima unajinyongaje kisa Wivu wa Mapenzi?
Wengine wanaenda mbali zaidi Kwa kuua wapenzi na Watoto wao Sasa sijui inakuaje Kwa staili hii.
Dunia imejaa Wanawake Kwa nini Watu wanajinyonga kisa mwanamke? Yaani mtu unahusianisha thamani ya Maisha Yako kisa Mwanamke?
View: https://twitter.com/millardayo/status/1727803214915920033?t=oJS7Vz0krIx6KYdIPRYpQw&s=19
Kwahiyo mtu akifika miaka 30 ndo hawezi pata ugonjwa wa akili??
Haya mambo hayakuwagi rahisi hivyo Kama mnavyodhania.