Ushoga unaanzia mbali sana mkuu. Mkuze mtoto wako wa kiume kwa misingi thabiti asije akatumbukia kwenye ushoga.Hivyo lotion na parfum ni ushoga??
Hao mashoga hawana uhusiano wowote na lotion wala perfume
Kaamua mwenyew kupigwa paipu na sio kusingizia matumizi ya manukato.
Ni kweli tujadiliane hapa kwenye manukato mzeeUshoga unaanzia mbali sana mkuu. Mkuze mtoto wako wa kiume kwa misingi thabiti asije akatumbukia kwenye ushoga.
Unawazungumziaje wazee wenzio wanao fanya scrubbing usoni πNi hatari sana mkuu. Wakatazeni watoto wenu wa kiume wakae mbali na hivyo vifaa mkuu.
Hahahaha hata super black hutumii km wazee wenzio π€Kuscrub nako ni ushoga tu mkuu. Kwa ujumla, aina yoyote ya ujipodoaji kwa mwanaume ni ushoga.
Sawa mkuu, naheshimu maona yako. Tuupinge ushoga kwa kila nmana.Kiuhalisia Kuna tofauti ya kujipodoa na matumizi ya lotion kama Nivea ama Vaseline hasa upande wa kiume ndo nazozijua
Kujipodoa ni kutengeneza uso kwenye muonekano tofauti na awali kama kupaka poda, foundation, matumizi ya make up n.k issue za kope lens na lipstick
Hasa mwanaume anayetumia makeup anakuwa sio rijali tena, mzee
Nivea For Men iheshimiwe!
Situmii chochote mkuu. Nitaendelea kubaki natural hadi mwisho wa dahari.Hahahaha hata super black hutumii km wazee wenzio π€
Sio kweliUkiona mwanaume anashabikia usoft na kujipulizia mapafyumu kila wakati, ujue huyo ni SHOGA.