Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Huyu mtu anadharau sana na ana tuona watanzania ni wajinga.
Fikiria kipindi kile anatengeze tozo kandamizi kwa raia wasiojiweza alisema kwa dharau tuhamie burundi.
Leo hii mfumuko wa bei upo juu na watu wanakula mlo mmoja yeye anadai eti tujadili uganga. Maana yeye ni mchumi pekee hapa Tanzania.
Hivi anatuona wajinga?