Wiki iliyopita nimepata ajali na gari yangu, nimegongwa na corolla iliyokuwa imepoteza uekekeo na kuja upande wangu wa barabara. Baada ya taratibu za kipolisi kufuatwa tumejua gari hiyo haina bima. Polisi wanamtoza fine mmiliki wa hiyo Corolla. Naomba kupata msaada, itakuwaje kwa gari yangu? Nani atanilipa fidia, je ni kampuni yangu ya bima? Maana hata mimi nina 3rd party policy. Mwenye corolla anasema hana uwezo wa kulipa labda anipe gari yake nitafute mteja. Nifaanyeje bandugu?!!!