Hata mademu wa bar ni wazuri ukishalewa
kiufupi ukiwa bar kila kitu ni kizuri ukiwa umelewa hata mkeo unaweza kumtongoza tena
mambo vipi ??Wewe jamaa wewe
πππKuna hatari tukahamishiwa kwenye majengo ya serikali... mi nikiwa nimehukumiwa kifungo cha maisha...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]No comment honey... you know me well.
Unataka tumwage kuku kwenye mchele??
Pishi lako, ni kitu gani kitanifanya nile baa kwa mfano? Baa ni ulabu tu, kwa kuwa najua hujui kutengeneza Grants...
mambo vipi ??
nimefanyaje tena ?