umma upi?...kwani watu watano ndio tosha kujustfy huo mtazamo wako.
Heri mimi sijasema,.......Umma upi?!Wanaosoma hawa sio watu?!
Kujibu swali lako...atleast i came up with some numbers...unlikely you.Na kama ningekua najua watu billion nikasema watano kati yao wakua na bahati hiyo na kutaka kila mtu aamini kwamba mimi ndo nnaesema ukweli na sio wewe basi hata mimi ningejiona sio!!
Alamsiki...!
Heri mimi sijasema,......
Maana nisije kuitwa mwanamke, nimeona jana inasemekana Lizzy ni mwanaume.....!
Unajuwa mimi niko over 30 yrs, na mwandishi wa hii thread ni teenegar, am speechless on this........!Matola embu toa mawazo yako...utaogopaje vivuli bana?!
Unajuwa mimi niko over 30 yrs, na mwandishi wa hii thread ni teenegar, am speechless on this........!
mwandishi ameiwasilisha mada kisecondary school mno.
Ahahahahah, hawa watoto wa siku hizi ukitembelea mtandao wao wa facebook mpaka utacheka, kijana amezaliwa 1992 status ya relationship yake unakuta ameandika In an open relationship with...........!Ndo umwambie sasa asichezee net ya wazee kuandika mambo ya ajabu!!!
Ahahahahah, hawa watoto wa siku hizi ukitembelea mtandao wao wa facebook mpaka utacheka, kijana amezaliwa 1992 status ya relationship yake unakuta ameandika In an open relationship with...........!
Hapo ndio chanzo cha Division zero kinapoanzia.
Bora mimi ninaeskip hicho kipengele,......Hahahahha...labda wanadhani inamanisha wapo kwenye mahusiano yaliyopo wazi ..literally!!
Bora mimi ninaeskip hicho kipengele,......
Maana kwa umri wangu Single status ni noma,......
Its complicated ndio noma kabisa,...... how!
Mbona huelewi,.....Hahahha kwahiyo wewe unatumia status gani?!Married au In a relationship!!?
Mbona huelewi,.....
Nimekwambia nimeskip hicho kipengele, sio lazima ujaze information zako zote, unajuwa kuna watu wanajiripuwa kishenzi facebook but not me.
In realy world,........complicated!!I meant in the real world...not FB!!
Mimi FB nimeolewa...lolzz!
In realy world,........complicated!!