Sio lazima ukosee namba,hii imenikuta zaidi ya Mara 2 na ilianza kwa mtu mwingine alilalamika pia,namba unaingiza kwa usahihi kabisa inakwambia haipo au imetumika,nikawapigia Customer care wanasema imetumika,nikaachana nayo ila sikutupa,baada ya wiki mbili nikasema ngoja nijaribu ikakubalikama vocha umeikwangua mwenyewe na ikakujibu hivyo basi lazima kuna namba umeikosea kuingiza mfano 6 unaweza kuweka 0 au 8, au kwenye 3 ukaweka 9,namba 1 ukaingiza 7 na hii itategemea hiyo vocha umeikwangua vp labda lile tabaka la juu linaloficha namba hukulimalizia vizuri ndoapo kwenye 1 ukaweka 7 au kwenye 6 ukaweka 0..kuliko kuitupa vocha kama ulivyosema ni bora umpe mtu akusomee upya au akuandikie
Usiwe unatupa,ihifadhi acha hata wiki ijaribu tena itakubali,customer care hawana msaada kwenye hili mtabishana sana wanaweza kukwambia imetumika wakati haijaingiaHili limeshanitokea mara kadhaa matokeo yake naishia kutupa vocha na kuweka nyingine. Siku hizi huwa sinunui sana vocha za kukwangua nanunua tu bando kwa mtandao. Leo nimekuta vocha ambazo nilikuwa nimenunua kitambo na huwa mara nyingi inakuwa kwa ajili ya msichana wa kazi. Nikataka kuingiza vocha moja inasema vocha haipo. Nikarudia tena mara mbili jibu ni lile lile. Hii inakuwaje?
Hii ya leo sijaitupa ngoja kesho nitaicheki tena but I am sure namba zilikuwa sawakama vocha umeikwangua mwenyewe na ikakujibu hivyo basi lazima kuna namba umeikosea kuingiza mfano 6 unaweza kuweka 0 au 8, au kwenye 3 ukaweka 9,namba 1 ukaingiza 7 na hii itategemea hiyo vocha umeikwangua vp labda lile tabaka la juu linaloficha namba hukulimalizia vizuri ndoapo kwenye 1 ukaweka 7 au kwenye 6 ukaweka 0..kuliko kuitupa vocha kama ulivyosema ni bora umpe mtu akusomee upya au akuandikie
Asante!Sababu zinaweza kuwa 2....
1. Ni vocha feki
2. Kama sio feki, ni vocha ambayo bado haijaruhusiwa kwenye mfumo kutumika, inaweza kuwa ya wizi
Hata hilo ni la JF? Wapigie wenye vocha zao watakujibu vizuri......leta hoja za kufikirika hapa JF tafadhaliiiHili limeshanitokea mara kadhaa matokeo yake naishia kutupa vocha na kuweka nyingine. Siku hizi huwa sinunui sana vocha za kukwangua nanunua tu bando kwa mtandao.
Leo nimekuta vocha ambazo nilikuwa nimenunua kitambo na huwa mara nyingi inakuwa kwa ajili ya msichana wa kazi.
Nikataka kuingiza vocha moja inasema vocha haipo. Nikarudia tena mara mbili jibu ni lile lile. Hii inakuwaje?
Kumbe kuna vocha feki? Basi bora kununua kwa mitandao ya pesa tuAsante!
Ukipiga huko unapewa jibu hilohilo kwamba haipo. Kuna mdau hapo juu ametoa jibu lenye akili ambalo huko customer care hawakuwahi kunipa. Wakati mwingine jf kuna solution bora zaidi kwa hiyo usidhani kuleta hapa ni ujinga.Hata hilo ni la JF? Wapigie wenye vocha zao watakujibu vizuri......leta hoja za kufikirika hapa JF tafadhaliii
Nenda wakala utapewa ingine.....Ukipiga huko unapewa jibu hilohilo kwamba haipo. Kuna mdau hapo juu ametoa jibu lenye akili ambalo huko customer care hawakuwahi kunipa. Wakati mwingine jf kuna solution bora zaidi kwa hiyo usidhani kuleta hapa ni ujinga.
Hii ya leo sijaitupa ngoja kesho nitaicheki tena but I am sure namba zilikuwa sawa
Sio ilishaingia labda ulikuwa unadaiwa wakapita nayo juu kwa juu?Yani ulipigwa tafu.Hili limeshanitokea mara kadhaa matokeo yake naishia kutupa vocha na kuweka nyingine. Siku hizi huwa sinunui sana vocha za kukwangua nanunua tu bando kwa mtandao.
Leo nimekuta vocha ambazo nilikuwa nimenunua kitambo na huwa mara nyingi inakuwa kwa ajili ya msichana wa kazi.
Nikataka kuingiza vocha moja inasema vocha haipo. Nikarudia tena mara mbili jibu ni lile lile. Hii inakuwaje?
Hapana mkuu sidaiwi😆Sio ilishaingia labda ulikuwa unadaiwa wakapita nayo juu kwa juu?Yani ulipigwa tafu.
Duh!Hapana mkuu sidaiwi😆
Uko sahihi...batch ya vocha ambayao haijapitishwa kutumikaSababu zinaweza kuwa 2....
1. Ni vocha feki
2. Kama sio feki, ni vocha ambayo bado haijaruhusiwa kwenye mfumo kutumika, inaweza kuwa ya wizi