Uchaguzi 2020 Inakuwaje viongozi wa dini wanapowasifia watawala wa CCM ionekane sawa, lakini inapotokea wengine wakawasifia Wapinzani wanaonekana wachochezi?

Pumbavu huna akili wewe,Mwingira na Ponda wanasemea watanzania kwa mwamvuli wa taasisi gani?
 
Hawajasema sisi Waislam tutakipigia kura cha fulani tofauti na Shehe Ponda na Bagonza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…