Inakuwaje wabongo mnapenda kulazimisha mambo?

Inakuwaje wabongo mnapenda kulazimisha mambo?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Hatuwezi kufanana kwa kila hatua,maamuzi au michakato inakuwaje tunaforce mtu apende kitu ambacho unakipenda wewe?

Tunaishi katika ulimwengu wa kibepari kila mtu amepatiwa uhuru sawa wa mawazo,maamuzi na machaguo,tabia ya kulazimisha ilishapitwa zama zake.

Nimemaliza
 
Kwa hiyo kupenda kitu unachopenda wewe ni kuingilia mamlaka? Kupenda ni mamlaka? Umekatia hatimiliki unachokipenda?
kwani sheria ina ulazima ikawa ni maandishi?

nikiwa nakimiliki ninamamlaka nacho,lakini naweza kuwa sikimiliki ila nikawa nakipenda naweza kuwa na mamlaka nacho kwa conditions fulani.
 
Yaani unasema tunaishi kwenye uhuru wa kuchangua, halafu unamshangaa mtu kuchagua kuiga. Sasa huo ni uhuru wake?
Hakuna mada hapa. Kajipange
kila mtu amepatiwa uhuru
Labda toa mfano ueleweke. Naona una changamoto ya kujieleza na kujenga hoja
wewe ndiyo umevamia kambi hukuelewa ukotoa hoja bila kusoma bandiko uzuri.
 
Ongea vizuri na maisha yako
1723110831951.jpg
 
Back
Top Bottom