Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
una mambo ya kiseeeeeeeeeee we jamaaaSAWA LAKINI JE UNAKILI KWAMBA YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO
uhuru hauingilii mamlaka ya mtuYaani unasema tunaishi kwenye uhuru wa kuchangua, halafu unamshangaa mtu kuchagua kuiga. Sasa huo ni uhuru wake?
Hakuna mada hapa. Kajipange
Kwa hiyo kupenda kitu unachopenda wewe ni kuingilia mamlaka? Kupenda ni mamlaka? Umekatia hatimiliki unachokipenda?uhuru hauingilii mamlaka ya mtu
kwani sheria ina ulazima ikawa ni maandishi?Kwa hiyo kupenda kitu unachopenda wewe ni kuingilia mamlaka? Kupenda ni mamlaka? Umekatia hatimiliki unachokipenda?
Labda toa mfano ueleweke. Naona una changamoto ya kujieleza na kujenga hoja mixer na ubishikwani sheria ina ulazima ikawa ni maandishi?
nikiwa nakimiliki ninamamlaka nacho,lakini naweza kuwa sikimiliki ila nikawa nakipenda naweza kuwa na mamlaka nacho kwa conditions fulani.
kila mtu amepatiwa uhuruYaani unasema tunaishi kwenye uhuru wa kuchangua, halafu unamshangaa mtu kuchagua kuiga. Sasa huo ni uhuru wake?
Hakuna mada hapa. Kajipange
wewe ndiyo umevamia kambi hukuelewa ukotoa hoja bila kusoma bandiko uzuri.Labda toa mfano ueleweke. Naona una changamoto ya kujieleza na kujenga hoja