Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 335
Ndugu wana jamvi,
Kuna mtoto wangu na wanafunzi wengine wamerudishwa nyumbani kwa kuwa hawakuwa na saa za mkononi na viatu vya kufunga, mimi kama mzazi imeniuma sana hasa hili la saa ya mkononi, na kuna michango inayofikia kiasi cha sh 150,00.
Kuna baadhi unalipia Bank na zingine unalipia shuleni.Kuna mchango wa tuition sh20,000 ni wa lazima hata kama mtoto hasomi hiyo Tuition.
Wana jamvi naombeni msaada wenu ni wapi nikalalamike na kama kuna mtu ana contact za kitengo maalum wizara ya Elimu anipatie niwasiliane nao.
Asanteni.