Mwanangu yuko Darasa la Tano. Saa ya Mkononi ni sehemu ya mavazi yake. Sio kwa ajili ya maandalizi ya Mitihani ya Kidato cha Nne kama ambavyo Mwanao anashurutishwa avae, bali ni kumjengea Mtoto hurka ya "Time Management" tangu akiwa mtoto, jambo ambalo kwa Watanzania ni "Janga la Taifa"! Suala la Mwanao kuwa na Saa ya Mkononi, hasa akiwa amebakiza miezi kadhaa afanye Mitihani ya Taifa sio la kulalamikia.
Viatu vya kufunga? Nadhani ni suala la Sare. Kama Sare za Shule hiyo ni pamoja na Viatu vya aina hiyo, unalalamika nini?
Acha kulalamika, fanya kazi, ongeza kipato, mjali Mwanao. Makoroboi, Mwanza, Saa nzuri ya Mkononi, digital, durable, dual powered for both solar and battery, shock and water resistant, etc. ni Sh. 10,000/- - 15,000/-. Viatu vya Mitumba vimetapakaa Mwanza nzima, mpaka vinatembezwa Baa, pure reather, ni Sh. 10,000/- - 25,000/-! (Angalizo: kwa ulalamishi uliona nao usijaribu Mlango Mmoja)!