Kweli kabisa maana watu wanaiga hadi sahihi ya Waziri Mkuu mwenyewe anachekelea tu anaona ni jambo la kawaida hajui umuhimu wa sahihi yake kuwa inaweza kiingiza nchi vitani, nakumbuka kuna waziri mmoja UK alitemeshwa kazi kwa kubeba vibaya faili la kesi siikumbuki kesi yenyewe ingekuwa tanzania aliyelipiga picha lile faili angeweza kufunguliwa mashitaka ya kumfuatilia wariri kazini.Tanzania zaidi ya uijuavyo.
Habari za kiinteligensia hazikuwepo?Mkuu kuna threat nyingi za kigaidi ambazo zinaTarget mkusanyiko wa watu wengi (kama ilivyotokea Uganda), sidhani kama wanajeshi wanalinda ama wakostandby in case mlipuko utatokea?<br />
<br />
mawazo yangu tu!
rais anaenda kukagua shamba yla mihogokama umeutazama mdahalo wa leo kati ya mwanasheria Lissu na mwanamipasho Ndugai utaelewa serikali ya magamba ina watu wa aina gani. Unashangaa jeshi la nchi kulinda fiesta wakati kaka wa rais alifanyia sherehe ikulu. Wakati rais anakesha angani. Ana miezi 8 ameliacha jiji kuu halina mkuu wa mkoa. Kwa serikali ya watu vilaza ni jambo la kutoshangaa. Usishangae siku wasanii wa fiesta wakialikwa bungeni
<br />rais anaenda kukagua shamba yla mihogo
Huo upembuzi unafanyikaje bila kujadiliwa hata hivyo hapa tunacomment matangazo tuliyosikia live.Angalieni hata vituo vinavyotoa haya matangazo. Unawezakuta anayetangaza ni wale makanjanja wetu. Ni vema hii wanajf wafanye upembuzi kabla ya comments. Haipo na haitatokea jw ilinde fiesta. Labda wangeweza kulinda kama hiyo ingefanyika kambini kama kwenye ukumbi wa lugalo. Watangazaji hawa wakiona mtu yeyote amevaa mabakamabaka anafikiri ni jwtz
Huo upembuzi unafanyikaje bila kujadiliwa hata hivyo hapa tunacomment matangazo tuliyosikia live.