Inakuwaje yai la Kuku linakuwa na rangi ya kijani?

Inakuwaje yai la Kuku linakuwa na rangi ya kijani?

pappifresh

New Member
Joined
Apr 9, 2024
Posts
2
Reaction score
2
Hivi ni kwanini kuku wa kienyeji baadhi wanataga mayai kuwa na rangi tofauti tofauti kwa mwonekano wa nje?
 
Sijui sababu ila nishaona sana.

Ambao hawajawahi kufuga aina mbalimbali za kuku wataona unaongea vitu vya kufikirika.
 
Hao kuku itakuwa wanaunga mkono jitihada za mama, mitano tena.
 
Back
Top Bottom