pappifresh
New Member
- Apr 9, 2024
- 2
- 2
jawahi ona mkuu. Ama umesoma/kuona mitandaoni ?Hivi ni kwanini kuku wa kienyeji baadhi wanataga mayai kuwa na rangi tofauti tofauti kwa mwonekano wa nje?
🤣🤣🤣🤣bila picha ni umbea tu
hao kuku ni mashabiki wa yanga.Hivi ni kwanini kuku wa kienyeji baadhi wanataga mayai kuwa na rangi tofauti tofauti kwa mwonekano wa nje?