mbona kazi za karibuni wanaanza kuita intaview kabla ya zile za mwanzo?
mfano wale wakala wa vipimo ilikuja baada ya state atorney chamber vacancy, au ndo wameshaitana wenyewe? na maaaaafisa tarafa je?
nisaidieni nahisi kuingia choo kisicho jinsia yangu