Inakwaje Bingwa wa shirikisho na Super Cup Africa hayupo 3 Bora?

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Kwenye vilabu bora hayupo Bingwa wa Shirikisho ambaye ndo huyo huyo bingwa wa Super Cup Africa (USM Algiers).

Lakini kwenye makocha 3 bora kocha wao yupo.

Vigezo gani wameangalia hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elewa tu hizo ni data za mchongo, pia angalia eti Raja aliperform vizuri kuliko Wydad wakati Raja club bingwa aliondolewa robo huku Wydad alicheza final.

Kwenye ligi yao Wydad alimaliza nafasi ya pili huku Raja alikuwa nafasi ya 8, pia Wydad amecheza final ya Africa super league msimu huu, kwa takwimu hizo tu zinatosha Wydad kuwa juu ya Raja.

Angalia bingwa wa Caf confederation na Super league hayupo top 10 halafu eti Fus Rabart aliyemaliza nafasi ya 4 kwenye ligi ya Morocco awe bora kuliko Simba alifika robo Caf cl, pia akamaliza nafasi ya pili NBC pl.

Mwenye akili finyu ndie atabeba ujinga huo kama ulivyo
 
Hivi USM Algiers ndio mabingwa wa super cup?
Ndo mkuu,ile Mamelodi waliyochukua ubingwa ni African Football league isikuchanganye. Hiyo Super Cup Africa inakutanisha bingwa wa shirikisho na bingwa wa club bingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamemtambua Bechikha wakiona kuwa ni kwa uwezo wake zaidi ameweza kuibeba timu yenye viwango vya wastani na kuipa mafanikio waliyoyapata ndiyo maana unaona yeye ametoboa hadi top 3 wakati USMA haikuvuka hadi hatua za mwisho katika tuzo.

La mwisho kumbuka Benchikha amechukua Super Cup mara mbili mfululizo tena akiwa na timu mbili tofauti, sidhani kama kuna makocha wengi wenye rekodi hiyo.

USMA ni klabu ndogo sana kwa mtazamo wa kuweza kutambulika kwenye top 3. Shirikisho ni kombe la chini sana hata kwa standard walizojiwekea CAF wenyewe na wanafanya juhudi za makusudi kabisa kuonyesha uthamani wa tofauti ya CC na CL iwe wazi ili thamani ya CL iweze kuonekana na hii ni njia moja wapo.
 
Vipi anayecheza robo fainak kila msimu hakuingia hata 10 best?, Wakati huo ametokea 8 Bora😅
 
Wamemtambua Bechikha wakiona kuwa ni kwa uwezo wake zaidi ameweza kuibeba timu yenye viwango vya wastani na kuipa mafanikio waliyoyapata ndiyo maana unaona yeye ametoboa hadi top 3 wakati USMA haikuvuka hadi hatua za mwisho katika tuzo.

La mwisho kumbuka Benchikha amechukua Super Cup mara mbili mfululizo tena akiwa na timu mbili tofauti, sidhani kama kuna makocha wengi wenye rekodi hiyo.

USMA ni klabu ndogo sana kwa mtazamo wa kuweza kutambulika kwenye top 3. Shirikisho ni kombe la chini sana hata kwa standard walizojiwekea CAF wenyewe na wanafanya juhudi za makusudi kabisa kuonyesha uthamani wa tofauti ya CC na CL iwe wazi ili thamani ya CL iweze kuonekana na hii ni njia moja wapo.
Umeongea huku ukijipinga mwenyewe katika maelezo yako.

Umesema shirikisho ni kombe la chini sana, sasa inakuaje kocha aliyeshiriki mashindano ya chini ashindanishwe kwenye tuzo?

Super cup alizozipata je tiketi aliyopata kucheza super cup, kuna tiketi ya klabu bingwa au zote kapata tiketi kwa kushiriki michuano hiyo unayosema ni ya chini ?(shirikisho)

La mwisho kama kocha anatambulika kwa mashindano madogo ambayo wewe unayaita ni ya chini, ni vipi klabu isitambulike?

Na la mwisho usichokijua, ni kwamba hizi ni tuzo za msimu, hawaangalii super cup wala mafanikio ya misimu iliyopita bali wanaangalia msimu wa 2022/2023 pekee. Ndio maana zinaitwa tuzo za msimu.
 
Ambacho haujaelewa ni kipi? Kwani mafanikio ya USMA hayakutambulika kabisa? USMA ilikuwepo katika list ya vilabu vitano lakini panga lingine lilipita na kubaki timu 3 ndiyo ikaondolewa. Na point niliyoileta mimi ndiyo hiyo kwamba wameitambua hadi ilipofikia hatua za mwisho kabisa, zikatoka timu zote za shirikisho zikabaki za Klabu Bingwa. Au wewe ulitaka timu zote za shirikisho zisiwepo kabisa hata katika zile 5 ili uone kweli CAF wameonyesha kutoyathamini kihivyooo mashindano ya shirikisho?

Hivi kweli unaniambia sijui kuwa hizi ni tuzo za msimu mmoja au una hamu sana ya kutaka kuona unanielimisha kitu? Unadhani ni nini kilichomfanya Benchikha ampiku Marcel Koller wa Al Ahly kuwemo katika 3 bora kama siyo Super Cup?
 
Elewa tu hizo ni data za mchongo, pia angalia eti Raja aliperform vizuri kuliko Wydad wakati Raja club bingwa aliondolewa robo huku Wydad alicheza final.

Kwenye ligi yao Wydad alimaliza nafasi ya pili huku Raja alikuwa nafasi ya 8, pia Wydad amecheza final ya Africa super league msimu huu, kwa takwimu hizo tu zinatosha Wydad kuwa juu ya Raja.

Angalia bingwa wa Caf confederation na Super league hayupo top 10 halafu eti Fus Rabart aliyemaliza nafasi ya 4 kwenye ligi ya Morocco awe bora kuliko Simba alifika robo Caf cl, pia akamaliza nafasi ya pili NBC pl.

Mwenye akili finyu ndie atabeba ujinga huo kama ulivyo
Ebu gugu "caf club ranking 2023/2024 points system" uone vigezo gani vinatumika kupanga ubora wa vilabu. Usipojishughulisha kujua, utaishia kusema wengine Wajinga kumbe mjinga anakuangalia ukitazama kioo! Ahahahahaha!!!
 
Wamemtambua Bechikha wakiona kuwa ni kwa uwezo wake zaidi ameweza kuibeba timu yenye viwango vya wastani na kuipa mafanikio waliyoyapata ndiyo maana unaona yeye ametoboa hadi top 3 wakati USMA haikuvuka hadi hatua za mwisho katika tuzo.

La mwisho kumbuka Benchikha amechukua Super Cup mara mbili mfululizo tena akiwa na timu mbili tofauti, sidhani kama kuna makocha wengi wenye rekodi hiyo.

USMA ni klabu ndogo sana kwa mtazamo wa kuweza kutambulika kwenye top 3. Shirikisho ni kombe la chini sana hata kwa standard walizojiwekea CAF wenyewe na wanafanya juhudi za makusudi kabisa kuonyesha uthamani wa tofauti ya CC na CL iwe wazi ili thamani ya CL iweze kuonekana na hii ni njia moja wapo.
Hiki ni nini ume andika? USMA ni timu ndogo kwa kipimo kipi? Mamelodi sundowns kamzidi nini USMA kwa msimu 22/23?
 
Huu uchambuzi wana Yanga wataupita kama wanaaga maiti iliyoharibika
 
Hiki ni nini ume andika? USMA ni timu ndogo kwa kipimo kipi? Mamelodi sundowns kamzidi nini USMA kwa msimu 22/23?
We jamaa ivi unajua kwamba hata kama USMA angebeba hilo kombe la Caf Confederation misimu minne mfululizo na Mamelod angekuwa anaishia Caf champions League nusu fainali misimu minne mfululizo bado Mamelod angekuwa Rank ya juu zaidi ya USMA.

kama unabisha angalia ranking ya Fifa ya klabu za Dunia, pamoja na sevilla kushinda mara kadhaa kombe la Europe ila hajawahi kuwa juu ya Bayern munich katka ranking za Fifa. Wakat bayern katka misimu mitano kaambulia UEFA moja tu.
 
Ndo maana points alizokusanya simba makundi na robo hajafikiwa na Yanga pamoja na kufika nusu fainali ya shirikisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom