kwa hiyo wewe unafagilia wale wanaodanganya sijui nina rafiki yangu mkewe kamwita buzi afanyaje? humu jukwaani watu wanaleta mambo yao wanapewa ushauri kama visa kama hivi haviji humu jukwaa hili litajadiliwa mambo gani? au tuanze kuleta na mambo ya siasa?mkishaanza kuripoti mambo yenu ya ndani hapa ni dalili za kuchokana huko...mkalishe kitako,malizeni mambo yenu ndani kwenu huko
Nimepita mahala nikakuta my carpet na wadada wengine wanapiga story,kilichoniuma zaidi ni kusikia mimi naitwa buzi.na aliyetamka hivyo ni wife.Je ungekuwa wewe ungefanyaje?
Nimepita mahala nikakuta my carpet na wadada wengine wanapiga story,kilichoniuma zaidi ni kusikia mimi naitwa buzi.na aliyetamka hivyo ni wife.Je ungekuwa wewe ungefanyaje?
hahahaaa pole kwa kuitwa mbuzi! ila kwa sababu we ni mume basi we utakua beberu ye atakua mrs beberu, au?
Hahaha...I like thisI like this. Wewe ukiwa nyumbani hebu mwite "Mrs buzi naomba uniwekee maji ya moto", au jengine lo lote kiasi ya mara mbili mpaka tatu uone reaction yake kama atafurahia au la. Akikwambia mimi sifurahii kuitwa Mrs buzi nawewe umwambie hata mimi sifurahii kuitwa buzi.
Nadhani message itafika vizuri.
Kwani uongo? Ukioa si unakuwa unachunwa ila kisheria/kihalali? Tofauti iliyopo kati ya ukichunwa ukiwa hujaoa na ukiwa umeoa ni kuwa kuchunwa ukioa ni lazima na si kwa hiari kama ukiwa hujaoa.
Huhitaji hata kukasirika, ni ukweli. Kwani ukiwa mfupi, na mkeo akasema wewe ni mfupi utakasirika?
Nimepita mahala nikakuta my carpet na wadada wengine wanapiga story,kilichoniuma zaidi ni kusikia mimi naitwa buzi.na aliyetamka hivyo ni wife.Je ungekuwa wewe ungefanyaje?