Inanikumbusha mbali sana

RayB

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2009
Posts
2,751
Reaction score
200
Thanks to Mjengwa,






Inanikumbusha miaka ya 80s tulipokuwa tunaenda kuangua mabibo then tunaenda kungaaka korosho lol good memories
 

Attachments

  • 07.jpg
    22.2 KB · Views: 342
yeah, your juniors can still enjoy them in the village!
 
Ha ha tulikuwa tunatumi vitu vinaitwa makota (vipande vya matawi) katika kuyashusha hayo madude
 
Dah! kweli aisee. Au tulukiwa pamoja enzi za udogo? Nayakumbuka mabibo. Yana maji mengi na matamu! ukimaliza bibo unachoma korosho
 
Dah! kweli aisee. Au tulukiwa pamoja enzi za udogo? Nayakumbuka mabibo. Yana maji mengi na matamu! ukimaliza bibo unachoma korosho

You never know mzee especially with this JF anonymity thing..
 
Never came accross!...Ni nini hii?

Hilo tunda linaitwa Bibo PJ, na hiyo mbegu ndo korosho yenyewe baada ya kukaangwa na kubanguliwa. Mafuta ya korosho yalikuwa yanatumika kwa vijana enzi hizo kwa 'painful tattooing' na famous tattoos enzi hizo ni ya Bob Marley, Nanga, na n'ge.

I guess hii Mabibo ya sasa inatokana na hilo jina I guess enzi hizo kulikuwa na Mikorosho mingi sana
 

Niongeze tu,
Sisi enzi zetu unakula bibo, unakaanga korosho.
Halafu, unachukua makorosho yaliyobaki kwenda kuchezea "kamari" kama vile gololi. Tulikuwa tunatumia mbegu kubwa kuyalenga , hiyo mbegu inaitwa kikwetu " Matandabala"
Ilikuwa funny kwa kweli
Thanks kwa kukumbusha hizo enzi!@!!!
 
Never came accross!...Ni nini hii?


PJ, hata kule shamba inabidi utenge eka kadhaa kupanda hii mikorosho. Kama una hela niambie nije "pale" nikupe somo pamoja na ile ishu ya Kokoa.
Nimeifanyia utafiti kidogo..........
 
Sasa hilo bibo kule kigamboni walikuwa wanatengeneza pombe ya kienyeji sikumbuki ilikuwa inaitwaje.....
 
Sasa hilo bibo kule kigamboni walikuwa wanatengeneza pombe ya kienyeji sikumbuki ilikuwa inaitwaje.....

Ha ha ha mweh kuna pombe ya kila kitu siku hizi
 
Umenikumbusha kwa bibi(RIP) Zilikuwa siku nzuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…