Inanisikitisha na kunihuzunisha

Ndiyo maana wengine hivi sasa tunajitahidi 'Kuwakaza' sana ili hata tukija kuwa Wazee kama huyu wa Pichani tusiwe na cha Kujutia wala Kushangaa.
 
Wakati unautumia huu ujana kwa anasa pambana pia jiweke sawa kiuchumi utawalamba pisi kali mpk unakufa sio mpk unazeeka I mean mpk UNAKUFA...huu mji ulikuwa na mzee Mengi lkn mzee Mpili pia alikuwa humu humu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hyo ndio kauli mbiu mkuu
 
Rejea Kapuya na takwimu za ukimwi utaambiwa wazee ndo wanaongoza kusambaza ukimwi kwa mabinti wabichi hususan wale wa shule za secondary kwa huku kwetu Dar so brother ilipo pesa ndo watoto wanatulia tuli
 
Unamkumbuka Mzee wetu kipenzi Dr R. Mengi.
 
Tafuta hela tunza akiba fainali uzeeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…