Inanisumbua

amiride

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
200
Reaction score
37
Nina girl friend wangu wakati tupo kwenye sex akifika kileleni mikojo inamtoka sijui hii kama ni kawaida au ana tatizo.please kama mnaweza kunisaidia kwa hili
 
watu wengine waajabu kweli mkuu hapo mpz wako ndo unakuwa umemfikisha tena shukuru kwa hilo!
 
Nina girl friend wangu wakati tupo kwenye sex akifika kileleni mikojo inamtoka sijui hii kama ni kawaida au ana tatizo.please kama mnaweza kunisaidia kwa hili

This is called a MASSIVE EJACULATION for the lady.
 
Mkojo kabisa with smell and yellowish color?
 
Huyo tatizo lake ni kuwa anakua na mkojo wakati mna du,kwa hiyo akifika kwenye hicho kilele ana nogewa na kujikuta anachia na mkojo wote,pole kwa hilo ndugu labda ningekushauri umwambie wakati hamjaanza machezo awe anakojoa kabisa ndio muendelee.
 
mkuu usiogope.....nina uhakika huyo demu wako hatakuacha,,,,kuna kitu kinaitwa G spot .....just google for more infos
 
Nina girl friend wangu wakati tupo kwenye sex akifika kileleni mikojo inamtoka sijui hii kama ni kawaida au ana tatizo.please kama mnaweza kunisaidia kwa hili

poleni. Napenda kukuuliza ufafanue kinachotoka. Color? Amount? Smell?
Je, unafahamu kitu inaitwa 'KATERERO'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…