Inanitisha!

Simple on looking

Senior Member
Joined
May 27, 2014
Posts
100
Reaction score
34
salaam jamani,
samahan naomba kujua nini tatizo langu. katika hali ambayo siyo ya kawaida nikienda haja kubwa huwa naona vitu kama uteute mweupe umeambatana na kinyesi.

naomba kujuzwa wakuu,kama ni kawaida au ugonjwa na causes zake
 
Skia mkuu jali afya yako wai vipimo na matibabu lkn humu jf.
 
Mkuu sasa wewe daa. Mpaka umeuliza ujue ushastuka kwamba sio kawaida chakufanya kimbia hospital haraka.
 
Vyoo vya shimo vizuri sana, huoni hio makitu kabisaaaa, yaani unasikilizia kitu kikgusa chini hukooooooo, Pole sana, sipati picha ukishakata gogo unageuka na kuanza ku-evaluate!!! Hahahahaaa, Nakushauri wahi hospital hii issue ni serious na sio kuja hapa maana utapata alternative nyingi zitakazoishia kukuchanganya, mimi naweza kusema ulikula ndizi mbivu nyingi (which is true by the way0 lakini mwingine atakwambia ni minyoo (ni kweli) lakini nenda hospital upate uhakika.

MUNGU akuponye urudi JF unafuraha
 
Bugia kitunguu saumu kimoja cha sh300 I.e kiponde kisha changanya na vijiko3 vya maji ya vuguvugu kisha bugia kwa pamoja na umeze.
Leta feedback hapa, unless nenda hospital tatizo likiwa kubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…