Mwambie tu atakuelewa. Kama una sababu za kweli kabisa mwambie tu. Kama umejaribu kumrekebisha harekebishiki, chukua maamuzi magumu kwa faida yako.Nakumbuka siku niliyompigia simu mama, Nikamwambia mama nataka kuoa
Nilisikia sauti yake upande wa pili wa simu akitabasamu na akaniuliza swali nililojibu kwa kujiamini
Alisema mwanangu umemchunguza vya kutosha,nikajibu mama ni anaubora kupitiliza
Lakini leo inaniuma mno kumweleza mama yangu kuwa nataka nimpe talaka ooh tutalakiane
Sio rahisi sana kuelewa kijanaNakumbuka siku niliyompigia simu mama, Nikamwambia mama nataka kuoa
Nilisikia sauti yake upande wa pili wa simu akitabasamu na akaniuliza swali nililojibu kwa kujiamini
Alisema mwanangu umemchunguza vya kutosha,nikajibu mama ni anaubora kupitiliza
Lakini leo inaniuma mno kumweleza mama yangu kuwa nataka nimpe talaka ooh tutalakiane
!!!!!!!!!!!!!!!!!!Nakumbuka siku niliyompigia simu mama, Nikamwambia mama nataka kuoaNilisikia sauti yake upande wa pili wa simu akitabasamu na akaniuliza swali nililojibu kwa kujiaminiAlisema mwanangu umemchunguza vya kutosha,nikajibu mama ni anaubora kupitilizaLakini leo inaniuma mno kumweleza mama yangu kuwa nataka nimpe talaka ooh tutalakiane
Salaam wanajf wenzangu wote..
Lord have mercy…..
Uchaguzi wangu haujakuwa km nilivyofikiria itakuwa, mama inaniuma sana, mama anasema Sio rahisi mwanangu kuelewa haya mambo ila natumai baadae utakuwa mwenye furaha tena.
Nakumbuka siku ya harusi kanisani, mhubiri akisoma neno na kukuwekea kinywani mwako ..nilikuona mrembo sana na usiye na hatia sikujua ndani ya urembo wako ulificha makucha ambayo yangeniparua siku zijazo..
Inaniumiza jamani..na sasa naelewa kwanini wanasema mwanamke mrembo ni wa kuchezewa na wanaume wengine…ee bwana naumia sana jamani.