Inaniuma sana, katoa mimba yangu kisa mama yake hanipendi

chaz beezz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
217
Reaction score
865
Ni mda Kama wa miaka mitatu Sasa inaenda niko na uyu binti kwenye mahusiano tulipendana Sana nakufikia kuweka malengo ya kuwa mume na mke hapo baadae.

Mwezi uliopita aligundulika anaujauzito wangu wa mwezi mmoja tulikaa tukakubaliana tuulee uo ujauzito basi mambo yakapita nikaanza kupambana katika harakati zangu kuhakikisha namuhudumia vizuri mama mjamzito na kujipanga kwa mtoto ajae.

Lakini Cha kushanzaga juzi ananipigia simu ananiambia nashida ya kuzungumza na wewe fanya uwezavyo tuonana sababu ye bado anaishi kwao basi nikaacha shughuli zangu nikaonana nae sehemu alivyoniona akaanza kulia Sana na kuniambia kuwa mimba imetoka kiukweli nilishituka kwa kiasi chake basi nikamtuliza tukaongea mengi Sana akionesha jinsi ilivyomgusa

....Sasa leo nakuja pata taharifa kwa rafiki yake wa karibu Sana ananiambia mpenzi wako ile mimba iliyotoka chanzo ni mama ake mzazi hakutaka nizae na binti yake na kwanza alikua hanipend nahakupenda mahusiano yetu kisa wao ni famili yenye uwezo mkubwa hivyo binti yake ataangaika tu na Mimi Sina hadhi ya kuzaa nae.

Iliniuma Sana nilivyombana uyo mpenzi wangu aniambie hivi ayo niliyoambiwa na rafiki yana kweli alibisha lakini baadae alikiri na kuomba msamaha kuwa ni kweli mama ake alimshinikiza kwa vitisho vikali kuitoa hiyo mimba yangu naye akakubali.

Imeniuma Sana kwanini uyu binti atoe mimba yangu kisa mama yake hanipendi lakini kwanini akubali kutoa iyo mimba wakati niko tayali kuilea Kama kwel alikua anaenipenda.
 
Aliogopa kuachwa abakie kuwa single mother . Wewe umpe mimba halafu unaoa Mwanamke mwingine it's unfair. Fikiria wewe ungekuepo ni Mwanamke halafu umebeba huo ujauzito ingekuwaje kulea sio ishu . Ishu ni kuolewa halafu ndio kuzaa. Ingawaje kutoa ujauzito sio Jambo Jema hata hata kidogo
 
Sasa leo nakuja pata taharifa kwa rafiki yake wa karibu Sana ananiambia mpenzi wako ile mimba iliyotoka chanzo ni mama ake mzazi hakutaka nizae na binti yake na kwanza alikua hanipend nahakupenda mahusiano yetu kisa wao ni famili yenye uwezo mkubwa hivyo binti yake ataangaika tu na Mimi Sina hadhi ya kuzaa nae.
How come unawasiliana na rafiki was mpenzi wako?? Iko shida
 
Yaani unampa mimba binti ambaye bado yupo kwa wazazi wake halafu unakuja kujipiga kifua hapa kulilia ujauzito...

Sasa nenda kwa wazazi wake kalalamike kama hujapigwa risasi ya makalio...shubamittt!!!
 
Mama na mwana wote takataka.... Temana nao. Ukiona mzazi anavalia njuga mahusiano ya binti au kijana wake then jua hapo hautakuwa na amani.
 
Ni mda Kama wa miaka mitatu Sasa inaenda niko na uyu binti kwenye mahusiano tulipendana Sana nakufikia kuweka malengo ya kuwa mume na mke hapo baadae.

Mwezi uliopita aligundulika anaujauzito wangu wa mwezi mmoja tulikaa tukakubaliana tuulee uo ujauzito basi mambo yakapita nikaanza kupambana katika harakati zangu kuhakikisha namuhudumia vizuri mama mjamzito na kujipanga kwa mtoto ajae.

Lakini Cha kushanzaga juzi ananipigia simu ananiambia nashida ya kuzungumza na wewe fanya uwezavyo tuonana sababu ye bado anaishi kwao basi nikaacha shughuli zangu nikaonana nae sehemu alivyoniona akaanza kulia Sana na kuniambia kuwa mimba imetoka kiukweli nilishituka kwa kiasi chake basi nikamtuliza tukaongea mengi Sana akionesha jinsi ilivyomgusa

....Sasa leo nakuja pata taharifa kwa rafiki yake wa karibu Sana ananiambia mpenzi wako ile mimba iliyotoka chanzo ni mama ake mzazi hakutaka nizae na binti yake na kwanza alikua hanipend nahakupenda mahusiano yetu kisa wao ni famili yenye uwezo mkubwa hivyo binti yake ataangaika tu na Mimi Sina hadhi ya kuzaa nae.

Iliniuma Sana nilivyombana uyo mpenzi wangu aniambie hivi ayo niliyoambiwa na rafiki yana kweli alibisha lakini baadae alikiri na kuomba msamaha kuwa ni kweli mama ake alimshinikiza kwa vitisho vikali kuitoa hiyo mimba yangu naye akakubali.

Imeniuma Sana kwanini uyu binti atoe mimba yangu kisa mama yake hanipendi lakini kwanini akubali kutoa iyo mimba wakati niko tayali kuilea Kama kwel alikua anaenipenda.
Ko wewe kazi yako kutia watoto wa wenzio mimba .siyo kuoa fuata taratibu kijana sawa
 
Yaani unampa mimba binti ambaye bado yupo kwa wazazi wake halafu unakuja kujipiga kifua hapa kulilia ujauzito...

Sasa nenda kwa wazazi wake kalalamike kama hujapigwa risasi ya makalio...shubamittt!!!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kameandaliwa ka clip nawe umekaamini, kwa kifupi tu huyo binti hajawa tayari kuzaa.... hayo mengine sijui mama hakutaki, wana uwezo,rafiki ake akakupa umbea yote ni maigizo
 
Mkuu huyo binti hakupendi au ni mdogo kiasi cha kutokùjua anataka nini kwenye maisha yake.

Kwa style hiyo atakuumiza zaidi mbele kwa kisingizio cha "Mama hakupendi". Achana nae tafuta mwenye akili kidogo anaeweza kujisimamia
 
IMG-20211122-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom