Inaniuma sana, katoa mimba yangu kisa mama yake hanipendi

Mhh sisi wanawake aiseh.....Mim nasema acha tu nipambane na mwanangu mmoja......naona watu wanavohangaika kupata watoto kisa walitoaga mimba!!.....kwa huyo binti Kaa mguu mmja ndani mwingine nje.....mama ake atakuja kumuozesha hv karibuni....
 
Funga macho kwa sekunde moja fungua then fanya kusahau kuwa mahusiano hayo yaliwahi ku-exist kabisa.
Aiambie nafsi yako ikae mbali na familia ya watu hawataki mazoeya na wewe na wanaona unafosi kuunganisha ukoo.

Songa mbele.
 
Move on! I repeat MOVE ON!

Achana naye, tafuta mwanamke mwingine wa kufanana nae hali... Usi force hapo yatakukuta mengi mabaya zaidi.
 
Social classes and financial status discrimination bado zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…