Inaniuma sana lakini nitafanyaje, inabidi niwe mnafiki tu

Huyo siyo shangazi yake. Ni mama yake - ama mdogo ama mkubwa. Shangazi yake ni dada yake baba yake. Uzungu wa nini hapa Tanzania?
soma mada vizuri uelewe huyo dogo ni BINAMU yake ni mtoto wa mjombaake ambaye huyo mjombaake yaani babaake huyo dogo ni baba mmoja mamammoja na mamaake
na kwa mujibu wa maelezo yake ni kuwa wameishi vizuri mno kiasi hapa mjiini watu hudhani ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja kumbe ni mtu na binamu yake

tukirudi kwenye mada wengi hawawezi kukuelewa wengine watakuita mmbey na majina mengi nk
ila mm nimekuelewa kwanza unampenda mdogo wako na mnaelewa sana kiasi mmekuwa kama marafiki wakubwa kiasi mkikutana story haziishi
lkn huyo mwanamke kwanza kaharibu ule umoja wenu urafiki na pia umeangalia mbali mni 7bu huyo dogo akipata matatizo yoyote wewe ndio utakuwa mshuulikaji wa kwanza na pengine hata kukucost pesa hata muda pia
na jambo lingine unampenda mno mdogo wako wako afanikiwe lkn kila ukimuangalia huyo mwanamke wake unagundua fika anarudisha nyuma maendeleo ya ndugu yako hilo nalo linakuumiza mno

ni km mdau mmoja alivyosema hapo kwa levo ya mapenzi alipofikia dogo huwezi kufanya chochote akakuelewa unless mpk huyo dogo apigwe na kitu kizito sana mpk apoteze fahamu kisha azinduke ndio akili itamkaa sawa
kwakuwa wewe ni bro record tu matukio tu kisha yahifadhi ipo siku atakufuata nwenyewe na kuanza kulalamika sasa wewe hapo ndo utaanza kumpa fulldose ya matukio yote ya huyo demu kisha utamuacha mwenyewe aamue
hvyo kwa sasa wewe muangalie tu anavyorukaruka
 
Kwa hyo ss wana MMU tunasimama kama nan ndugu wa mke au rafiki zake mtoa mada
 
Acha kila mtu apambane na familia yake mshirikiane kupeana pole tu yanapo bumburuka
 
Nadhani wew ndo mtu ulioelewa huu uzi kuliko mtu mwingine yoyote,umevaa viatu vyangu umeelewa situation yangu, yaan imefikia hatua dogo akinambia amepigika anataka hela ya kula nampa lakini naumia nikiwaza tunaenda kulisha mwanamke anaegongwa ovyo

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye hii story wewe ni mwanamke wengine wote walio Baki ni wanaume
 
Mapenzi n upofu,kunaa dem alikuwa anafanya kz na wachina mwisho wa cku akakulana na mchinaa akabebaa mimbaa ,dem alikuwa na boy wakee wanakaanaye dem akamwambia boy wake ana mimbaa jamaa wala hakubisha akaleaa maana c n mtu wanakaa naye ,aiseeeee mtt kuja kuzaliwaa mchina huyu hapa kbs tenaa wakikee n mzuri huyoo mtt tz hkn semaa c wa mtu maarufu tu lkn n mzuri, lakini jamaa jamaa analeaa vzr tu na maisha na dem wakee yanasongaa mchinaa ashasepaga zakee baada ya kumalizaa ujenzi wa daraja,,,
 
Mademu wa Singida wahuni na washirikina, huyo hatoki niamini hamuachi hata mfanye nini utapata ubaya wew. Kashapigwa na kitu kizito, hamuachi huyo!
 
Usirudi kuwaambia wanaopendana waachane...

Unamtreat dogo utadhani wewe na mkeo mnaishi kama malaika.

Mtu mzima anaambiwa mara 1, the rest, mwache ajionee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…