Inaniuma sana nikiona!

Inaniuma sana nikiona!

flintsky

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
654
Reaction score
746
Inaniuma sana nikiona mtu
Haeshimu wazazi wake!

Inaniuma sana nikiona watoto
Wadogo wa kike wakijiingiza
Katika mapenzi bado wadogo!

Inaniuma sana nikiona binadam
Wenzangu wanapata mlo 1 tu
Kwa siku.

Inaniuma sana nikiona wanandoa
Hawana amani ndoa zinavunjika
Watoto wanateseka kukosa malezi
Ya walezi

Ongezea na lako ukianzia inaniuma sana nikiona...........
 
Inaniuma sana nikiona wapinzani wanataka kujenga UKUTA badala ya kujenga DARAJA
 
Back
Top Bottom