Inaniuma sana nikiona mtu
Haeshimu wazazi wake!
Inaniuma sana nikiona watoto
Wadogo wa kike wakijiingiza
Katika mapenzi bado wadogo!
Inaniuma sana nikiona binadam
Wenzangu wanapata mlo 1 tu
Kwa siku.
Inaniuma sana nikiona wanandoa
Hawana amani ndoa zinavunjika
Watoto wanateseka kukosa malezi
Ya walezi
Ongezea na lako ukianzia inaniuma sana nikiona...........