David Peter Sembosi
Member
- Jun 29, 2013
- 38
- 1
Hivi hawa N.E.C.T.A wanasubili nini?Au 4m5 mwaka huu hakuna?.Why this jf members?
lakini wewe c umeelewa..4m5... ndio nini!?? ndio maana mnafeli kila leo.
ingekua poa kama ungeenda kwenye mada moja kwa moja badala ya kumchallenge kihivyo, na kama huna che kusema bora ukae kimya.NECTA wanahusika na mitihan sio selection.Alafu jifunze kuandika vizuri humu sio Facebook!!!!!
muone kwanza
acha ujinga sisi hatukufeli kama unavyowaza wewe, ilikuwa ni haki yetu.. Try to be positive..Hawa watoto wanaoingia form five wana viherehere sana ndio maana kumbe walifeli serikali ikawaonea huruma, matokeo yenyewe yalitoka tarehe 30/5 sasa sijui wizara ingefanya vp kutoa posts haraka kiasi hicho,tafuteni pesa ya kujikimu ukiwa shuleni.
Kitabu cha Advance cyo rahis km mnavyokikimbilia
Kitabu cha Advance cyo rahis kma
mnavyokikimbilia[/QUOTE
Kwa hyo tukikaa hm ndo kitakuwa rahisi eti eeeeeh...
hivi hawa n.e.c.t.a wanasubili nini?au 4m5 mwaka huu hakuna?.why this jf members?
jaribu kuwa na akili nani kakuambia necta wanahusika na selection? Stupidity of highest degree.
lakini wewe c umeelewa..
ingekua poa kama ungeenda kwenye mada moja kwa moja badala ya kumchallenge kihivyo, na kama huna che kusema bora ukae kimya.
acha ujinga sisi hatukufeli kama unavyowaza wewe, ilikuwa ni haki yetu.. Try to be positive..
sio kama tunakikimbilia, tunafuata ratba inavyosema. Hata ungekua wewe usingeweza kukaa kimya..
Hivi hawa N.E.C.T.A wanasubili nini?Au 4m5 mwaka huu hakuna?.Why this jf members?
4m5... ndio nini!?? ndio maana mnafeli kila leo.
Hivi hawa N.E.C.T.A wanasubili nini?Au 4m5 mwaka huu hakuna?.Why this jf members?
Acha matusi,humu sio FACEBOOK;Understood guy?
NECTA wanahusika na mitihan sio selection.Alafu jifunze kuandika vizuri humu sio Facebook!!!!!
muone kwanza
Yaani maishani mwako umekaa ukishikilia kuwa Facebook ndipo kwenye matusi?
Hivi akili yako iko hivyo kila siku au ni leo tu? Ngoja tuwe tunawashikisha adabu ngedere nyie.
hawa watoto wanaoingia form five wana viherehere sana ndio maana kumbe walifeli serikali ikawaonea huruma, matokeo yenyewe yalitoka tarehe 30/5 sasa sijui wizara ingefanya vp kutoa posts haraka kiasi hicho,tafuteni pesa ya kujikimu ukiwa shuleni.