Inaonekana Makonda kalala usingizi mzuri sana usiku wa leo..!

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
1) Kapata forum mbele ya jeneza la mchaga, kuwashambulia wachaga kuwa ni wagumu sana kusaidia walemavu na wahitaji.

2) Kusambaa kwa video chafu ya ng'ono inayodaiwa ni ya hasimu wake mkuu Askofu Josephat Gwajima.

Aluta Kontinua
 
Pole kwenu ambao hamkualikwa chakula cha usiku jana pale nyumbani kwake. Tulikesha tukila na kuangalia ule mkanda vizuri, aisee kwa mara ya kwanza nikamuona Makonda anatembea sawasawa, jamaa hana matege....ile ni pozi tu za kiCCM.
 
Na kama n shabiki wa Liverpool.. Basi full burudani
 
hata mimi nimelala usingizi mzuri, barca kupigwa na Liverpool[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pole kwenu ambao hamkualikwa chakula cha usiku jana pale nyumbani kwake. Tulikesha tukila na kuangalia ule mkanda vizuri, aisee kwa mara ya kwanza nikamuona Makonda anatembea sawasawa, jamaa hana matege....ile ni pozi tu za kiCCM.
Kumbe mumealikana, wamikoani tunamis vingi eeh
 
Kwani nae uyu
cc01cac7-c8b9-47bc-82c8-16910c0f6e25.jpg
 
Back
Top Bottom