Inaonekana Sheria za Fizikia hazitumiki kwa mbuzi!

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Mbuzi wanaokaidi sheria za fizikia, kwenye clip hii wanashuka kutoka juu ya mti, hebu wataalam wa yule jamaa yenu mzungu wa kwa nini jiwe linarudi chini kutokana na sijui gravity mara atomy of mvutano, uwanja ni wenu sasa πŸ˜‚!.

Your browser is not able to display this video.
 
Jiwe ukirusha juu lazima litarudi chini sababu ya "gravitational force " ...

Hii Ni nguvu inayo attract all bodies toward the centre of the earth ..

Japo hio nguvu haiwezi kuaffect movement ya chakula kwenye koromeo( oesophagus movement ),ndio maana hata uweke miguu juu kichwa chini ukatafuna chakula bado kitaenda tumbon ...
 
Unaamini huo mnazi upo vertical position? Au ni watu wamecheza na engo ya camera?
Mkuu kuna viEpisode nilikua navyo vya mbuzi wapo kwenye maporomoko. Yaani wanavyoruka na kupanda hayo maporomoko unaweza hisi ni visual effects. Walikua wanakimbizwa na Simba wa kwenye mawe (Puma?) walivyokua wanawakwep kwa kuruka juu ya mawe hadi utapenda
 

Mashaallah, muujiza wa allah huo sawa na muujiza wa Mtume kuupasua mwezi vipande viwili.
 
Hao huwa wanafuata chumvichumvi kwenye hayo mawe. Anyway nadhani kwato zinawasaidia
 
Sijajua ni sheria gani ya fizikia iliyokaidiwa hapo.
 
Watu wangi hawamjui mbuzi vizuri huyo kiumbe muacheni. Anahusishwa na matukio mazito ya kishetani. Ni symbol ya kishetani kichwa chake kimekaa kama qummmer
 
Ndiyo maana akaitwa mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…