Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Oct 26, 2021 #21 Van De Beek said: Sakata lililo sababisha kuwekeaa kauzibe kwenye Vyeti kati ya CAF na UEFA unalijua? Click to expand... Unaleta taarabu sasa, lete vyeti maneno mengi ya nini?
Van De Beek said: Sakata lililo sababisha kuwekeaa kauzibe kwenye Vyeti kati ya CAF na UEFA unalijua? Click to expand... Unaleta taarabu sasa, lete vyeti maneno mengi ya nini?
Alexander Lukashenko JF-Expert Member Joined Sep 9, 2017 Posts 4,140 Reaction score 9,667 Oct 26, 2021 #22 Matola said: Unaleta taarabu sasa, lete vyeti maneno mengi ya nini? Click to expand... Wewe ni wa kupuuzwa......
Matola said: Unaleta taarabu sasa, lete vyeti maneno mengi ya nini? Click to expand... Wewe ni wa kupuuzwa......
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Oct 26, 2021 #23 KANYIMBI said: Malengo aliyopewa Kocha Gomes ni Simba ifike Nusu fainali. Hivyo ni halali Kutimuliwa Click to expand... Atafikaje wakati hana vyeti?
KANYIMBI said: Malengo aliyopewa Kocha Gomes ni Simba ifike Nusu fainali. Hivyo ni halali Kutimuliwa Click to expand... Atafikaje wakati hana vyeti?
mgunga pori JF-Expert Member Joined Jul 23, 2016 Posts 4,092 Reaction score 4,896 Oct 26, 2021 #24 Done
ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,340 Reaction score 4,069 Oct 26, 2021 #25 Anayetaka kujua chama na mmakonde wameuzwa kwa sh ngapi aje PM
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,258 Reaction score 20,386 Oct 26, 2021 #26 ofisa said: Anayetaka kujua chama na mmakonde wameuzwa kwa sh ngapi aje PM Click to expand... Katafute hela ya dagaa na mkaa upike ule, hayakusaidii hayo.
ofisa said: Anayetaka kujua chama na mmakonde wameuzwa kwa sh ngapi aje PM Click to expand... Katafute hela ya dagaa na mkaa upike ule, hayakusaidii hayo.