Hahahaa kuzimu hakuna beer ndio maana tunakunywa beer......Hahahaaaaa...... Huyu mzee nitamkumbuka sana, hasa ule wimbo wake wa 'Kuzimu hakuna beer....'
T[emoji769]
Wameibadilisha!!! Haipo mzuka kama ile ya Kibonde!!Naona hawajaanza kuicheza hiyo 'jingle', nadhani bado wanaomboleza.
T[emoji769]
Waliibadilisha tangu enzi za Kibs,wakaweka ile ya Do you want beer..Wameibadilisha!!! Haipo mzuka kama ile ya Kibonde!!
.Do you want beer . yeeees do you want beer yeeees cause a beer makes me love everybodyWaliibadilisha tangu enzi za Kibs,wakaweka ile ya Do you want beer..
Ndio mwanzilishi wa icho kipindi akiwemo na gadner na marehemHyu wala asingefaaa anaongeaga kama hana meno